TANZANIA KUAGIZA MBOLEA NA KUSAMBAZA KWA NCHI JIRANI

Na Mwandishi wetu Dar es salaamJune 14 2021 Waziri wa Kilimo, Mhe Prof. Adolf Mkenda amesema Serikali ipo kwenye  mikakati wa  kuhakikisha Tanzania inakuwa kituo  cha kuingiza mbolea na kusambaza kwa nchi zenye uhitaji. Ameyasema hayo tarehe 14 Juni 2021 wakati akiwa katika ziara ya kikazi katika Bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kuangalia